VIDEO YA NICK MINAJ YAPIGWA MARUFUKU MTV

VIDEO MPYA YA MWANADADA TOKA CASH MONEY ENT,NICKI MINAJI INAYOKWENDA KWA JINA LA STUPID STUPID HOE IMEPIGWA MARUFUKU KUONYESHWA KATIKA KITUO CHA MATANGAZO CHA MTV,VIDEO HIYO AMBAYO INAONYESHA WAKIWA WANCHEZA NUSU UCHI IMEZUILIWA KABISA KUONESHWA KATIKA KITUO HICHO NA VINGINE AMBAVYO VINAJARI MAADILI.HHAHAAHAHA POLE XANA NICKI MINAJ

Comments