ulikuwa unaumwa vibaya hospitalini,na ili utibiwe inatakiwa kama laki mbili hivi.na wewe huna akiba yeyote ya hela.mara mkeo anafika pale hospitalini na mzee mmoja jirani yenu pale ambaye anasifika sana kwa kutembea na wake za watu, mkeo anasema hivi "mume wangu nimekutana na huyu mzee ali nimemuomba atuazime hela yake kwa ajili ya matibabu yako,amekubali kwa hiyo hapa ndio naongozana nae hadi kwake nikachukue hiyo hela alafu nije nilipie hapa"" je wewe kama mume utafanyaje! na mzee huyo apitwi na mwanamke na wala hajaoa!!!
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!