CPWAA ATUMIA MIL 17 KATIKA VIDEO YAKE MPYA

Mwanamuziki Ilunga Khalifa-C-Pwaa ameweka bayana kuwa mpaka sasa ameshatumia kiasi cha shilingi million 17 kwa ajili ya utarishaji wa video ya wombo wake mpya ambao ameubatiza kwa jina “mhhhhh”

Akizungumza na MEDIA moja nchini amesema fedha hizo zilizotumika ni kwa ajili ya utayarishaji wa video hiyo na mambo mengine.aliongeza kwa kusema ameamua kutumia kiasi icho cha fedha ili kazi hiyo iwe bota ili iweze kukubalika kimataifa..”kwa sasa Tanzania kuna wasanii wengi  kubaki katika soko la ndani peke yake haitakuwa busara lazima tutafute soko la nje hivyo basi lazima kazi ziwe kwenye ubora wa hali ya juu..Mtayarishaji wa video hiyo ni Adam Juma wa Visual Lab nae hakutaka kuwa nyuma kwani ameshiriki vyema katika kuanzaa video hii ili kazi iwe bora zaidi
 

Comments

Post a Comment

sema nasi hapa!!