Ukimzungumzia Barnaba basi unakuwa unamzungumzia kijana
mdogo toka pale jumba la sanaa,THT ambaye muziki ndio kazi yake
inayompa heshima kubwa East African,
Kiukweli jamaa huyu ni mtata sana katika suala lakuandika na
kuimba,kwani nyimbo zake nyingi Zimekuwa zikipendwa sana na watu
wa rika zote na kusumbua sana katika vituo vya habari.hivi karibuni
jamaa alizindua wimbo wake mpya unaokwendakwa jina la 'gube gube' na
leo hii nimeamua kuuweka hapa ili usikie nini nimemaanisha niliposema
kuwa jamaa ni mkali yaani ni moto wa kuotea mbali,wimbo huu ni kutoka
kwa muandaaji tudd thomas.
Barnaba pia amewahi kutesa na ngoma kama vile daima milele,njia
panda,sms,sipendi dharau,na feats kibao
je una maoni gani kuhusu wimbo huu mpya wa barnaba,comment hap chini
ReplyDeleteIme2lia sana
ReplyDelete