"SWAHILI HIP HOP NDIO ALBUM YANGU MPYA MWAKA HUU"-ZOLLA D

LEO KAITKA BOLG YETU YA WAJANJA SITE NAWALETEA BONGE LA INTERVIEW NILILOFANYA NA MWANA HIP HOP MAARUFU David Michael Mlope AU WENGI WANAMFAHAMU KAMA ZOLLA D,
JAMAA NI MZALIWA WA KUSINI MWA TANZANIA HUKO (KANDA ZA JUU KUSINI),MNAMO TAREHE 21 JAN 1982.NA AMEKUWA NA NDOTO ZA KUWA MWANA MASUMBWI TANGU AKIWA NA UMRI WA MIAKA 12 TU,WAKATI HUO AKIWA MBEYA,NI AJABU ILIYOJE HII!! NA KAMA UNVYOJUA SIKU ZOTE KWENYE NIA PANA NJIA,NDIVYO ILIVYOTOKEA KWA ZOLLA D.MPAKA LEO HII TUNA MSIKIA.



ZOLLA D ANASEMA HIVI' "NILIKUWA NA NDOTO TANGU NIKIWA MDOGO SANA,NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIWEZESHA KUMUDU KAZI ZOTE MBILI YAANI BOXING NA MUZIKI" NA KUHUSU MZIKI ZOLA D ANASEMA ALIANZA NA SINGO YAKE YA KWANZA ILIYOITWA "MSELA" MWAKA 1991 AKIWA NA MSANII NGWEAR,BAADAYE AKAJA NA Jana sio leo, Moto wa tipa , Sina raha ft Mb dog, Sipati mchongo ft Noorah, Nampenda sana ft Baby Madaha, NJopo tucheze ft Kaju, Hoi ft Canibar, Cost to cost NA ZINGINE AMBAZO ZILIKUWA KWENYE ALBUM YAKE YA KWANZA



BLOG HII ILIMTAFUTA ZOLA D NA KUWEZA KUONGEA NAYE MAWILI MATATU !! HEBU FUATILIA HAPA CHINI


NASMILETZ- MAMBO VP KAKA

ZOLLA D- POA JEMBE NIJE

NASMILETZ- POA SANA N KARIBU KWENYE BLOG YETU YA WAJANJA ,
KWANZA KABISA unawezaje kufanya music na boxing kwa wakati mmoja??
namaanisha ratiba zako zipoje kaka?

ZOLLA D- naweza kufanya coz najipanga sana kaka,coz napanga time
able zangu poa zaidi,ndio maana nafanikiwa zaidi man.

NASMILETZ- na vp kuhusu game la music na boxing wapi unaona kunalipa zaidi

ZOLL D- vyote vinalipa man ila boxing kwa nje yaani ulaya ndio mzuka
zaidi tz akuna mshiko

NASMILETZ- tukija katika upande wa muziki vp umeshafanya album ngapi mpka sasa!?
na what next yaani unawambia nini mashabiki wako
wategemee nini toka kwako

ZOLLA D - mwaka huu nipo bussy zaidi kimziki coz miaka miwili sijatoa
nyimbo yoyote nilikuwa bsy na boxing sasa nina mkanda
ubingwa wa mma wa tanzania.pia kwenye mziki nina ngoma mpya
inaitwa whats going on imeanza kusikika kwenye radio
na video inakuja soon

NASMILETZ- okey!! whats goin on ni production yako mpya kwa mwaka huu
ikiwa umeifanyia katika studio gani zola?? na kuna kichwa
kingine chchote ambacho umekipa shavu!!?

ZOLLA D yaap mwana nimekusoma ni ngoma yangu mpya pia ft jors bless
pamoja na rage producer jors bless,studio sababisha production

NASMILETZ Ok (SWALI LA KIZUSHI).Na Katika ngoma zako kali ni ngoma gani ambayo
hata wewe mwenyewe ukiwa unaisikiliza,unakubali uliumiza kichwa?

ZOLLA D man ngoma zangu poa zipo nyingi sana ila naipenda hustler
king ndio ngoma ninayoipenda sana,

NASMILETZ okey asante sana zola na karibu sana hap la bda nikimalizia una
neno gani La mwisho kwa mashabiki wako wote east afica???

ZOLLA D neno la mwisho ni kwamba mwaka huu nakuja ki mziki zaidi
pia nikirudi safari yangu ya germany nakuja kuzindua
album yangu ya kwanza inaitwa swahili hip hop ina ngoma 21


NASMILETZ poa sana zolla d the king karibu xana

ZOLLA D poa mwana uskonde tupo pamoja sana jembe!!

HII HAPA CHINI NI NGOMA YAKE MPYA INAYOTESA SANA KATIKA VITUO MBALI MBALI VYA BURUDNI --WHAT IS GOIN ON ***ANGALIZO--HII VIDEO SIO RASMI SIO VIDEO YAKE RASMI


Comments

Post a Comment

sema nasi hapa!!