Muigizaji wa siku nyingi nchini marekani anyefahamika
kwa jina la Ben gazzara amefariki dunia akiwa na umri
wa miak 81 ijumaa hii katika hospital ya manhattan.
mwanasheria wake kathibitisha hilo na kuongezea kuwa
Ben amefariki dunia baada ya kusumbiliwa na ugonjwa
wa pancreatic cancer.
moja ya kazi zake ni ile cartoon ya Anatomy of a Murder
ya mwaka 1959 n.k
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!