NYIMBO MPYA YA CHID BENZ UMENISHIKA .AUDIO

mwanamuziki wa bongo flava ambaye anatokea pande zile za ilala pia ni member wa la familia chid benz anakuja na bonge langoma linalokwenda kwa jina umenishika !! ni soo hot aiseee hebu isikie hapa chini



pia hii hapa ni video yake ya never be the same again


Comments