unaangaliwa bila sababu

hivi siku moja wewe umependeza zako, alafu unapita road unashangaa kila mtu anakuangalia sana!! yaani wengine wanadiriki hata kugeuka lakini wewe mwenyewe hawakuambii kitu,unahisi labda kuna kitu umechapia usoni mwako, unaingia mahali penye kioo unajiangalia unajikuta safi tu.lakini kila unapotoka nje mambo ni yaleyale,wanakuangaliaaaaaa mpaka unaona aibu!!! kama ni wewe utafanyaje

Comments