KUFANIKIWA NDIO FURAHA YANGU KUBWA’’-PASHA

MSANII WA MUZIKI WA BONGO FLAVA NCHINI TANZANIA AMBAYE ANAFAHAMIKA KWA JINA LA PASHA MTEPA
AU MAARUFU KAMA PASHA AMESEMA KUWA HAKUNAKITU KINACHOMPA FURAHA MAISHANI MWAKE KAMA
KUFANIKISHA MALENGO AMBAYO AMEJIWEKEA.
AKIONGEA NA BLOG HII PASHA AMBAYE NI MWANAMUZIKI WA MUDA MREFU SANA KATIKA ANGA LA MUZIKI HUU
WA BONGO FLAVA ,ANAYETESA NA NGOMA MPYA YA “AMEKUWA” ALIYOMSHIRIKISHA MSANII TUNDA MAN WA TIP TOP ,
AMEWEKA WAZI KUWA SIKU ZOTE AKIWA AMEPANGA KITU FULANI ALAFU KIKAFANIKIWA BASI ANAPATA
FURAHA KUBWA SANA KATIKA MAISHA YAKE.


BLOG HII ILIMTAFUTA PASHA NA KUWEZA KUZUNGUMZA NAE MACHACHE KUHUSU YEYE NA MUZIKI WAKE KAMA HIVI;

NASMILETZ; kwanza kabisa karibu xana katika blog yetu ya wajanja site,siku zote tukiongelea wasanii wa bongo flava ambao wana
Jina kubwa sana na heshima jina lako ni miongoni mwa yatakayotajwa vp umepata mafanikio gani hadi sasa?

PASHA; Mafanikio ni mengi tu..kazi yangu imenipa heshima kubwa sana katika nchi hii na nje pia

NASMILETZ; Na unakabiliana vp na mabadiliko ya music hapa bongo hasa ukilinganisha na enzi zile unatoka na wimbo
kama vile ni soo,wasanii walikuwa wachache sana na siku hizi nadhani unajionea
wenyewe wasanii wachanga wanaibuka kila siku!! vp wewe unatumia mbinu gani kuhakikisha heshima
yako haishuki!! katika gemu?

PASHA; Yaah kweli game imebadilika sana tu.ishu kubwa ni kukaza na kwenda na wakati kuhakikisha nafanya vitu ambavyo
mashabiki wanataka

NASMILETZ; vp mpaka sasa umeshafanya album ngapi na itakuwa poa sana kama utazitaja kwa majina

PASHA; Yaah nimeshafanya album moja ambayo ilishatoka 2008 mwezi wapili ambayo ilikuwa inaitwa Ni soo.pia naandaa album ya pili
ambayo itatoka mwisho wa huu mwaka

NASMILETZ; itaitwaje na unategemea itakuwa na ngoma ngapi hivi!!??

PASHA; Jina bado ila ngoma kumi hivi

NASMILETZ; asante sana labda unaweza kutudokeza vichwa ambazo umevipa shavu katika hiyo album yko mpya?
na waandajiambao wamesimamia mpango mzima

PASHA; Yaah wakwanza ni recho wa tht pia tunda man

NASMILETZ; panoja sana pasha labda kwa kumalizia hebu tuambie unapendelea nini katika maisha yako!!

PASHA; Yaah mi napenda kufikia lengo kwa kile nikipangacho i mean mafanikio katika.kazi

NASMILETZ; UNAWA AMBIA NINI MASHABIKI WA PASHA EAST AFICA!!

PASHA; Yah.kwa mwaka huu ndo nimeanza hivyo nimeanza kwa wimbo huu lakini pia video yake itatoka      hivi karibuni kwahiyo wategemee vitu vizuri toka kwangu mwaka huu wote

NASMILETZ; OK ASANTE SANA NA KAZI NJEMA PASHA!! KARIBU TENA




PASHA KWA SASA AMEACHIA NGOMA MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA 'AMEKUWA' AKIWA NA TUNDA MAN,KAMA ALIVYOSEMA MWENYEWE VIDEO YAKE MUDA SIO MREFU ITAKUWA TAYARI SO STAY WITH US!!!!

Comments

  1. mods tunaomba video yake mpya hiyo alioimba na tunda mani

    ReplyDelete
  2. video yake bado haijakamilika man,ikiwa poa utaiona hapa hapa kwa WAJANJA

    ReplyDelete

Post a Comment

sema nasi hapa!!