MR NICE AJA NA WIMBO MPYA "TABIA GANI"


YULE MSANII AMBAYE ALIWAHI KUTAMBA SANA HAPA TANZANIA KATIKA ANGA LA MUZIKI WA TAKEU LUCAS MKENDA AKA MR NICE,SASA AMEVUNJA UKIMWA KWA KURUDI KWA SPIDI YA AJABU MWAKA HUU BAADA YA KUACHIA WIMBO WAKE MPYA WA 'TABIA GANI' ALIOUFANYA CHINI YA 'BWANA MDOGO' LAMAR PALE FISH CRAB REC,WIMBO HUU AMBAO UNAHUSU WALE WATU WANAOPENDA KUSEMASEMA WENZAO KWA MAMBO MABAYA UNAONEKANA KUMRUDISHA TENA MSANII HUYO AMBAYE BAADHI YA WATU WALISHASEMA "KAFULIA" KATIKA GEMU.
MR NICE AMEWAHI KUTESA NA NYIMBO KAMA VILE FAGILIA,KIKULACHO,BWANA SHAMBA NA MAMA, BILA KUSAHAU FIRST LADY AMBAZO ZILISUMBUA SANA ENZI HIZO!!! HAYA TEGA SIKIO HAPA UMSIKIE ANAVYOWASEMA WENYE TABIA MBAYA HAHAHAH!! BIG UP LUCAS MKENDA

Comments

Post a Comment

sema nasi hapa!!