MCHEZA SOKA MAARUFU DUNIANI DAVID BECKAM HIVI KARIBUNI AMEKACHA KUKAA
TENA NUSU UCHI KATIKA MATANGAZO YA NGUO ZA NDANI ZA KAMPUNI YA
Calvin Klein.
BEACKAM (36) AMBAYE PIA NI MUME WA MWANAMUZIKI POSH VICTORIA AMESEMA
KWAMBA KWA SASA HAYUPO TAYARI KUONA WATOTO WAKE WAKIMTAZAMA YEYE KAMA
MZAZI AKIWA KATINGA BOXER TU KATIKA MATANGAZO HAYO ANAYOFANYA NA
KAMPUNI HIYO YA MAVAZI.BABA LAZIMA ATUNZE HESHIMA YAKE ATI!!
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!