UMEWAPIGA WAZAZI WAKO BILA KUJUA USIKU

wewe umerudi home usiku wa manane.Moja kwa moja ukazama chumbani,ukafunua blanketi,ukaiona miguu minne badala ya miwili uliyozoea.ukafunika blanketi taaratibu,ukachukua bonge la rungu,ukaitwanga ile miguu kwa nguvu zote halafu ukaelekea sebuleni kutuliza hasira.Kutahamaki ukamkuta mkeo amejipumzisha sebuleni.Mkewe akakwambia:Wazazi wako wamekuja leo kututembelea,nimewaachia chumba chetu walale,sisi tutafanya maarifa mengine!!!!!!!!! utafanyajeeeeeeeee huu ni utata mtupu hebu tuambie

Comments