Umeokota waleti ya mtu alafu Unaibiwa tena

Umeokota walet ina pesa nying xana ndani pamoja na kitambulisho cha mwenye walet.Kwakuwa wewe ni m2 wa dini unaamua kumpigia huyo jamaa ili umpe walet yake na kitambulisho chake,jamaa anafurah xana na amekuomba umsubiri sehemu yeye yupo njiani anakuja kuchukua.Bahat mbya wakat ukimsubiri wanatokea vibka wanakunyang'anya kila ulichonacho ila wanasahau kukupora na cmu yako.Je utafanyaje na jamaa ndo huyo yu njiani anakuja

Comments