MPENZIO ANAKUSEMA VIBAYA MTAANI

umepita mahala ukakuta mpenzi wako na wadada wengine wanapiga story, kinachoiuma zaidi ni kusikia wewe unaitwa buzi/au mlupo.na aliyetamka hivyo ni mpenzi wako.Je ungekuwa wewe ungefanyaje?

Comments