BOSI KUCHAFUA CHOO

Wewe ni mwanaume unayeheshmika ofisini kwenu.Siku1 unaenda chooni kujisaidia but unakuta kuna m2 kajisaidia haja kubwa pembeni alafu bado ya motomoto,unaamua kutoka kwa hasira.Wakati unatoka mlangoni unakutana na mmoja wa mfanyakazi mwenzio wa kike (sista duu)anataka kuingia humo chooni..Je utasolve vp ili uaminiwe kuwa co wewe uliyefanya vile

Comments