MSANII MKONGWE ALIYEINGIA KATIKA ANGA HILI LAMUZIKI
WA BONGO FLAVA MWANAHIJA CHEKA:AKA' BI CHEKA AMBAYE YUPO
CHINI YA CREW YA MKUBWA FELLA AMESEMA KUWA BONGO FLAVA
NI MUZIKI AMBAO ANAUMUDU VIZURI NA MASHABIKI WAKAE MKAO
WA KULA,
BIBI CHEKA AMBAYE ANATAMBA NA NGOMA YAKE INAYOITWA
"NI WEWE" HIVI KARIBUNI ALIMALIZIA KUFANYA SHOOT YA WIMBO HUO
NA TAYARI IMESHAANZA KUWA HEWANI.KATIKA VIDEO HIYO MSANII TEMBA
KAPEWA SHAVU NA BIBI HUYO.
BIBI CHEKA WAKATI HUO HUO ANAENDELEA KFANYA MAANDALIZI YA
NYIMBO ZINGINE ILI KUKAMILISHA ALBUM YAKE ITAKAYOKUWA NA NYIMBO
KAMA 8 HVI,HONGERA SANA SAID FELLA KWA KUTULETEA SAUTI ADIMU KATIKA ANGA
LA BONGO FLAVA HOLAAAAAAAAA
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!