AY KUFANYA KAZI NA TPAIN

MSANII NYOTA WA MUZIKI WA BONGO FLAVA AMBWENE YESAYA (AY) AMESEMA YUPO MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE YA NNE AMBAYO ITAKUWA NI "MO FIRE" AY AMBAYE AMEWAHI KUWA MEMBER WA EAST COAST TEAM AMESEMA NDANI YA ALBUM HIYO ALIYOIPA JINA LA "X" KUNA VICHWA VIKALI TOKA EAST AFRICA NA MBELE KWA OBAMMA,KAMA VILE FA,NAMELESS,SEAN KINGSTON,ROMEO,TRINTY,TIGER PAMOJA NA TPAIN.
KWA SASA AY ANATESA NA WIMBO WA "I DONT WANNA BE ALONE" AMBAO UNASUMBUA SANA KATIKA MEDIA MBALIMBALI, NYIMBO ZZINGINE ZILIZOMPA HESHIMA AY NI PAMOJA NA "SPEAK WIT YOUR BODY" USIJARIBU, RAHA TU NA NYINGINE KALI ZAIDI!!!

Comments

  1. haya ni mafanikio makubwa san kwa ay!! vp una maoni gani kwake?? acha hapa

    ReplyDelete

Post a Comment

sema nasi hapa!!