Hebu fikiria uko sebuleni kwako, uko wewe, mkeo, watoto, wakwezo na marafiki mnaangalia taarifa ya habari kwenye luninga. Mara anatokea presenter mwanaume kwenye luninga kuendelea na taarifa ya habari, bonge la handsome. Mkeo anaanza kumsifia " jamani huyu mkaka mzuri utazani hakuzaliwa na mwanamke!......jamani huyu mvulana mzuri utazani ameshushwa!.....jamani wanaume wengine wameumbika yani utazani malaika!.....hebu angalia macho yake kama goroli!......Jamani sijaona mwaume mzuri kama huyu kaka......Hebu angalia ile suti yake ilivyonyooka, lazima atakuwa ameagiza Ulaya hii!" Basi mpaka taarifa ya habari inaisha mkeo ameendelea mkumsifia huyo mtangazaji. Mwisho anakuuliza.. " au mr nasema uongo?". Mwanaume mwenzangu ungekuwa ni wewe hapo sebuleni ungefanyaje?
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!