Kuna msichana/mvulana ni rafiki yako xana,mmeshibana xana mpk baadhi wanajua nyie ni wapenzi.Kumbe wewe unampenda kimapenzi na unateseka xana juu yake ila mwenzio anajua ni kirafiki tu.Wakati huo umeshawahi kushudia waliowahi kumtaka kimapenzi huo best wako wakiishia ku2kanwa na kununiwa milele.Je utafanyaje? Utajitosa kumwambia au utauchuna kuepuka kuharibu huo urafiki wenu wa xaxa
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!