HII ITAKUWA NI KWA MARA YA KWANZA ANAONEKANA KATIKA SHOW HIYO
BAADA YA KIMYA KIREFU KILICHOTOKANA NA migogoro ya kimapenzi
iliyokuwa inaendelea kwake,
KATTY PERRY AMETANGAZWA KUWEPO KATIKA SHOW HIYO ITAKAYOFANYIKA
TAREHE 12 FEB MWAKA HUU,AKIWA NA WASANII WENGINE KAMA
Dierks Bentley, Drake, Miranda Lambert, and Gwyneth Paltrow
PERRY YUPO KWA AJILI YA RECORD BORA YA MWAKA NA MTUMBUIZAJI
BORA KATIKA FIREWORKS,
wengine ni Adele, Jason Aldean,
Kelly Clarkson, Glen Campbell with The Band Perry and
Blake Shelton, Coldplay with Rihanna, Foo Fighter
, Bruno Mars, Paul McCartney, Nicki Minaj, and Taylor
Swift USIKU HUO WA JUMAPILI IJAYO!!
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!