MWANAMUZIKI MKONGWE AMBAYE MPKA MWAKA HUU TAYARI AMESHAFIKISHA
UMRI WA MIAKA 41 MARY J BLIGE,AMETOKA NA KUFUNGUKA KWA WAANDISHI
WA HABARI KUWA HANA HARAKA YA KUITWA MAMA KWANI HAFIKIRII KUWA
NA WATOTO HIVI KARIBUNI.
HAYO ALIYAONGEA JUZI KATIKA KIPINDI CHA "WENDY WILLIAM SHOW"
CHA MAREKANI KWA KILE ANACHODAI KUWA NDOA YAKE IPO KWENYE MTAFARUKU
KWA HIYO HAFIKIRII KUPATA MTOTO KATIKA KIPINDI HIKI
MARY JA BLIGE AMEWAHI KUTAMBA NA KIBAO HIKI HAPA KINACHOKWENDA KWA JINA
LA BE WITHOUT YOU,NA PIA TAYARI AMESHAACHIA NYIMBO MBILI AMBAZO
ZITAKUWA KATIKA ALBUM YAKE MPYA AMBAZO NI "MR WRONG" NA
"THE LIVING PROOF"
VIDEO YA MR WRONG HII HAPA
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!