MWANAMUZIKI MKONGWE ALIYEKUWA ANATAMBA KATIKA MIONDOKO YA POP NA RNB WITNEY HOUST AFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 48.
MSEAMAJI WA WITNEY HOUSTON Kristen Foster AMESEMA KUWA WITNEY AMEKUTWA AMEFARIKI JUMAMOSI NA RAY J AMBAYE AMEWAHI KUWA NA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA WITNEY KATIKA CHUMBA CHA HOTEL YA Beverly Hilton hotel HII LAKINI CHANZO CHA KIFO HAKIJAFAHAMIKA.
MWANAMUZIKI HUYO AMBAYE AMEKUWA GUMZO SANA KUANZIA MWANZONI MWA MIAKA YA 80 NA 90 AMEWAHI KUSHIKIRIA REKODI YA MAUZO YA KAZI ZAKE.PIA AMEWAHI KUJIINGIZA KATIKA MOVIE INDUSTRY NA BAADHI YA MOVIE AMBAZO AMESHIRIKI NI ZILE ZA The Bodyguard" and "Waiting to Exhale.
PIA WITNEY HOUSTON HATASAULIKA MAWAZONI MWA WATU WENGI SANA KUTOKANA NA NYIMBO ZAKE AMBAZO ZINAPENDWA SANA HADI LEO HII.WAPO BAADHI YA WASANII AMBAO PIA WANAMKUBALI SANA WITNEY KIASI KWAMBA WAMEKUWA WAKIKOPI STAILI YAKE YA KUIMBA MPAKA KUWACHANGANYA MASHABIKI WAKIDHANI NI WITNEY HOUSTON (MSIKILIZE VIZURI MARIAH CAREY NA CHRISTINA AGUILERA.
MAREHEMU WITNEY MARA YA MWISHO ALIANZA KUWA MTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA NA KUMSABABISHIA KUSHINDWA TENA KUIPANGA SAUTI YAKE NZURI HIVO KUANZA KUMPOTEZA KATIKA MUZIKI.
"NINA SHETANI MKUBWA SANA ANANIANDAMA,KAMA SIO MARAFIKI ZANGU BASI NI MAADUI ZANGU" ILIKUWA NI MOJA YA KAULI ZAKE ALIPOKUWA ANAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI ENZI ZA UHAI WAKE KUHUSIANA NA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA.
MOJA YA KIBAO CHAKE NI HIKI HAPA TRY IT OWN MY OWN

RIP WITNEY! AISEE TUTAIMISS SAUTI YAKO TAMU
ReplyDelete