HATIMAYE BEYONCE AONEKANA KWA MARA YA KWANZA TANGU AMEJIFUNGUA

beyonce akiwa katika concept
      Hii imetokea jumatatu hii,Baada ya kutoonekana mitaani tangu alipojifungua mtoto wake,Mwanadada Beyonce ameonekana katika jiji la new york katika tamasha la mume wake jay z,na baadae walienda kula good tym katika club ya jay ya 40/40.
      Beyonce alijifungua mtoto wake waliombatiza jina la Ivy 4
akiwa mtaa ni ikiwa ni  mara ya kwanza tangu ajifungue

kwa njia ya upasuaji mapema mwaka huu katika hospitali ya lenox,new york.

0 comments:

Post a Comment

sema nasi hapa!!