MASTAA WANASEMA NINI JUU YA KIFO CHA WHITNEY HOUSTON?

    
Whitney Houston enzi za uhai wake
   Ilikuwa ni habari ya mshituko sana ilipotangazwa  jumamosi iliyopita kuwa mwanamuziki nyota wa Pop na RnB Whitney Houston amekutwa amefariki dunia katika chumba cha hotel moja huko Los angels Marekani.Whitney alikutwa an mwanamuziki RAY J ambaye amewahi kuwa mpenzi wake katika chumba hicho cha hotel akiwa amekufa lakini haijaeleweka mpaka sasa nini kimesababisha kifo hiko huku baadhi wakisema inawezekana utuniaji mkubwa wa madawa ya kulevya unaweza kuwa chanzo.NA mtoto wa Whitney baada ya kupata habari hizo alipata msongo wa mawazo jumapili asubuhi hii kiasi kwamba ikabidi awahishwe hospital haraka kwa ajili ya matibabu.mtoto huyo ambaye ni wa pekee kwa Whitney Houston na Bobby Brown {Bobbi Kristina Brown 18}amesharuhusiwa kutoka hospital hapo leo hii

mtoto wa houston


       Habari hiyo imepokelewa kwa mshituko mkubwa sana mashabiki wake na pamoja na wasanii wenzake mashuhuri duniani.Ambapo kila mtu kupitia vyombo vya habari pamoj na mitandao ya kijamii walikuwa na haya ya kusema

BEYONCE   kupitia website yake aliandika hivi
beyonce
"“Kumpoteza Whitney Houston ni maumivu. nakumbuka nilikutana na Whitney nikiwa na miaka15. alikuwa ni mwanamke wa kipekee. sio tu alikuwa anajiamini, ana akili na utiifu, pia alikuwa ni mstaarabu na mwema.Alimchukulia kila mtu kama ni mtu muhimu sana kwake hakuwa na ubaguzi. , nilikuwa nazipenda nyimbo zake zote na nilikuwa natamani kuwa kama yeye. sauti yake likuwa nzuri yenye laini na yenye  kuvutia.  Yeye ni malkia wetu na ametufungulia milango ya mafanikio.mungu amlaze pema peponi.”

alicia keys


ALICIA KEYS
"“Najihisi kuumwa…. maisha ni tata, na sisi ni roho dhaifu. yatupasa tupendane!
Nitakukosa whitney , na dunia nzima itakukumbuka pia!!”









mariah carey


 Mariah Carey: 
“Nimevunjika sana moyo kutikana na kifo cha rafiki yangu, hakuna wa kumfananisha nae. Natoa pole kwa familia ya  Whitney na mashabiki wake wote duniani. Ah hatasahaulika kamwe kwa sauti yake ya pekee aliyokuwa nayo”





 Akon: “Tumempoteza                      kinara mwingine tena.           PUMZIKA KWA AMANI WHITNEY HOUSTON. Nilikuwa naona fahari sana kufanya kazi na mtu makini kama yeye”
Sean Kingston: “One Of The Greatest Voices.. Huge Inspiration!!!… SMH Sad News Man Messed up the Whole Day!”
  HIZI NI BAADHI YA POST ZA WANAMUZIKI MBALIMBALI KUHUSIANA NA KIFO CHA WHITNEY                                                                                            



Keri Hilson: “Watching the news now…it’s true. R.I.P.Whitney Houston. Ugh I hate that I’m even typing this…I’m shocked. She was my hero growing up.”

Tyga: “R.i.p to the legend Whitney Houston.damnn.don’t take life for granted”

Keyshia Cole: “Whitney??? Pls No!! R.I.P my beautiful! This REALLY hurts my heart!!!!”

Toni Braxton: “My heart is weeping…RIP to the Legendary Diva & Icon Whitney Houston!!!!! Such an incredible influence over music as a whole!”

Cee Lo Green: “R.I.P. Sister WHITNEY HOUSTON!!!!! We will always love you.”

Diddy: “Whitney Houston!!! OMG!! I really can’t believe this.. This is one of the saddest days ever..”

Katy Perry: “So devastating. We will always love you Whitney, R.I.P.”
Justin Bieber: “just heard the news. so crazy. One of the GREATEST VOICES EVER just passed. RIP Whitney Houston. My prayers go out to her friends and family”
Toni Braxton: “She’s paved the way for every single singer in the music industry. Iconic, legendary, innovating, amazing, humble…1 the best in the world”
Nicki Minaj: “Jesus Christ, not Whitney Houston. Greatest of all time.”
Diggy Simmons: “RIP to the legendary Whitney Houston.. Voice is unmatched.”

L.A. Reid: “I am completely devastated by the loss of the greatest voice of all time! R.I.P. Whitney Houston. I will always love you!”

Fat Joe: “A Musical Legend Was Lost 2day!!! REST IN PEACEWhitney Houston.”

Ciara: “RIP Whitney Houston. A Legend lost:( Her voice was insurmountable, her smile was illuminating, she was truly one of a kind and a huge inspiration to me. She has always had sweet and fun words to say to me. I will cherish the moment I was able to share with her, forever. This is truly unbelievable. My prayers and condolences to herfamily at this sad time.”
JoJo: “Long Live the Queen.”

Melody Thornton: “I praise god I am home for this horrible news! Hysterical!!! I just don’t know what to do!”

Queen Latifah: “Oh Dear Lord! Huritng so Bad!!! MY Sister Whitney!!!!!!! Newark please Pray!!! World Please Pray!”

B.o.B: “I remember ALL my mom played were her albums. She was a presence I grew up with, I cant believe it…. Rest In Peace and Have Eternal Life.”

Pitbull: “RIP Whitney Houston- que descanses en paz.”

Timbaland: “rip 2 a Legendary Diva, Icon, Mother & FriendWhitney Houston. 1 of the greatest voices ever. u will be truly missed. R.I.P Whitney Houston”

Rihanna: “No words! Just tears #DearWhitney”

Teyana Taylor: “Nope Whitney, I’m not believing it. Cause if I do I will go fucking crazy so crazy.”

Christina Milian: “I’m so sad to hear of #WhitneyHouston’s passing. May she rest in peace. My prayers & condolences to her daughter & family. 4ever remembered”

Diane Warren: “My thoughts and prayers for Whitneys’family. The voice of our time is now silent. RIP Whitney.”

Eve: “Wow R.I.P Whitney Houston. So sad. My prayers go out to family,friends,fans…”

Swizz Beatz: “I hate to say these words about my sister & friend R.I.P To the Great Whitney Houston you will always be loved in this world!! #Deans”

Pink: “Whitney was the reason many of us do what we do. “a few stolen moments is all that we share” RIP”

Bow Wow: “Everytime Ms Whitney saw me she would go “Ruff Ruff Ruff” all the time… She lived right around the corner from me. #TrueLegendrighthereboy”

Bruno Mars: “This is terrible news..I’m sick to mystomach. Nobody sang like Whitney”

Ameriie: “Such terrible news to hear of Whitney Houston’s passing. She gave the world so much happiness. God bless her & her family at this time.”

Busta Rhymes: “Can’t believe we’ve lost another 1 of our Royalty. Sister Queen Whitney Houston. God Bless on ur journey as u now stand with the Most High.”

Lil’ Kim: “A voice, a talent, and a spirit that will forever remain incomparable. RIP to the Queen, Whitney Houston.”

Jennifer Lopez: “Such a loss. One of the greatest voices of our time. Sending out prayers to her family… #R.I.P.Whitney.”

Solange: “At this time, the question is not how she went… It is how she will be remembered. I will always rememberWhitney Houston as a true legend. I will always rememberWhitney Houston as a true, outstanding, talent. A radiant beauty. A magical smile. A voice that made you shiver.”

Frank Ocean: “and i, will always love you.”

Kelly Rowland: “I am beyond heartbroken. Whitney Houstonwas undoubtedly one of the greatest singers & performers of all time & such a huge influence on me. She embraced me when I first started out with Destiny’s Child, with love, with encouragement and with that powerhouse voice. My deepest sympathies and prayers go out to her daughter, her mother and to all of her loved ones.”

will.i.am: “I’m so sad…whitney houston was so kind, sweet, wonderful, amazing, talented, and a true gift to the world…#iwillalwaysloveyou”














 
 
                                                                                                                               








0 comments:

Post a Comment

sema nasi hapa!!