TUZO ZA GRAMMYS KUWAKUTANISHA RIHANNA NA CHRISS BROWN
Mwanamuziki wa kimataifa chriss brown anataji kupafom katika utoaji watuzo za grammy jumapili hii ya tar 12 feb ikiwa ni mara ya kwanza tangu ampige aliyekuwa mpenzi wake,Rihanna robin fenty.
Wawili hao ambao kuna tetesi kwamba wanaendelea na uhusiano wao kwa usiri mkubwa sanaa watapafomu katika utoaji wa tuzo hizo jumapili ijayo huko Los Angels.Waandaji wa tuzo hizo wamesema Chris yupo katika section ya mwimbaji bora wa Rnb na wakati Rihanna yupo katika section ya albamu bora ya mwaka.
Brown aliacha kushiriki tuzo hizo tangu alipompiga rihanna mwaka 2009 na kumuachia maumivu na makovu rihanna huku yeye mwenye akiwa chini ya uangalizi wa police akitumikia miaka mitano ya kifungocha nje na miezi sita ya kuitumikia jamii.Inasemekana rihanna alitunga nyimbo za man down na i love the way you lie zikiwa zinapinga unyanyasaji kwa wanawake kutokana na tukio hilo.
0 comments:

