Hii inaweza kuwa ni kichekesho kwako,lakini wataalamu wa mambo ambao wapo
duniani kwa ajili ya kuchunguza na kutafiti vitu mbalimbali wameuliza
swali hilo!!
Inasemekana ukichukua wimbo wa nicki minaj unaoitwa super bass,kisha ukauplay kwa speed
nusu ya speed yake ya kawaida (pitch) then sikiliza kwa maikini utaona kuwa sio nicki minaj
tena anayeimba ila ni sauti ya mkali jay z.kama hujaniaelewa wimbo huu hapa unaitwa
SUPER BASS wa nicki minaji ukuwa katika spid ya chini>>HEBU SIKILIZA
HA HAHAHAH UMEISIKIA SAUTI YA NANI HUMO??
Haya na ukiuchukua wimbo wa jay z unaoitwa dirty off ur shoulder kisha ukauplay kwa speed ya juu hapo pia sauti itakayosikika ni ya mdafada nicki minaj na sio tena "baba ivy"
HEBU SIKILIZA HUU HAPA
NYINGINE HIZ HAPA
HIVO BASI SWALI HILO HAPO JUU NADHANI JIBU LAKE UNALO WEWE!!! USISITE KUACHA COMMENT YAKO HAPA CHINI
JE UMEAMINI EEH
ReplyDelete