KYLE MINOGUE ATUMIWA UJUMBE WA VITISHO TWEETER!

Mwanamuziki mkongwe mwenye asili ya Australia Kylie minogue amewataarifu police juu ya ujumbe aliotumiwa na mmoja kati ya fans wake katika mtandao wa kijamii wa tweeter.
Kylie ambaye ana miaka 25 katika fani ya muziki ametoa malalamiko hayo leo hii tarehe 7 feb 2012,baada ya kupata ujumbe wa vitisho kwa mtu ambaye hamfahamu kupitia wall yake ya tweeter.

"Nawapenda sana wapenzi wangu wote 1,033,861,lakini kasoro mtu mmoja ambaye amegeuza hapa ni sehemu ya kutumiana vitisho," alisema Kylie katika moja ya staus zake.










Hii sio mara ya kwanza kwa Kylie mwenye miaka 43 kutumiwa vitisho kama hivyo,hali kaama hiyo ilishawahi kutokea manamo mwaka 2003 pale aliporipoti polisi kuwa ametumia barua za vitisho 700 nyumbani na ofisini kwake










0 comments:

Post a Comment

sema nasi hapa!!