MTOTO WA MIAKA 14 AJIPIGA RISASI

mama wa mtoto  akiongea na  police

          Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 14 amejipiga risasi ya usoni akiwa katika eneo la kulia chakula katika shule aliyokuwa anasoma,ijumaa hii.

Mtoto huyo ambaye alitambuliwa na wanafunzi pamoja na ndugu zake kwa jina la Hunter marck yupo hospitali akiwa  mahututi  kwa ajili ya matibabu baada ya kujipiga risasi hiyo majira ya saa tano za asubuhi ijumaa hii huko new Hampshire Uingeleza.

gari ya police ikiwa mbele ya majengo ya shule
Bado haijafahamika ni sabsabu ganui iliyopelekea mtoto huyo kujipiga risasi na aliipata wapi.

Comments