JAZMINE SULLIVAN ARUDI TENA KATIKA MUSIC
Aliwahi kuandika katika wall yake ya tweeter kwamba anapumzika kwa muda kujihusisha na masuala ya muziki,lakini kwa maranyingine tena ametangaza kuwa sasa anarudi tena katika gemu kama kawaida ili kukamilisha albamu yake ya 3,
Msanii huyo wa alisema hivi "nimerudi tena kwa ajili ya album yangu mpya"
0 comments:


