MWANAFUNZI AANDIKA VERSI KATIKA KARATASI YAKE YA MTIHANI 0 LEVEL 2011
IKIWA NI SIKU MOJA TU TANGU MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2011 YAMETOKA,TAYARI VITUKO VIMEANZA KUONEKANA BAADA YA KUTANGAZWA KWAMBA BAADHI YA WANAFUNZI WALIOFANYA MTIHANI HUO WALIANDIKA MADUDU KATIKA "PEPA"HILO.
HATA HIVYO Baraza la mitihano la Taifa (NECTA) limewafutia matokeo yao watahiniwa elfu 3,303 baada ya kugundulika kufanya udanganyifu na kutumia lugha chafu kwenye mitihani yao ya kidato cha nne iliyofanyika oktoba 2011.
Matokeo hayo ambayo ni mabaya sana kulinganisha na miaka mingine ya nyuma.
kupata matokeo hayo bonyeza link hiyo hapo chini
2 comments:



Background ya Blogu yako ina rangi kali,maandishi hayasomeki kiabisa..
DVJ NASMILETZ says
poa nimekusoma ngoja nibadili