Schwarzenegger,Rambo ndani ya movie mpya "The tomb"

    Mcheza sinema Anold schwarzenegger amesain mkataba wa kufanya movie mpya ya mcheza sinema mwenzake Sylvester stallone "rambo" inayoitwa "The tomb"

     Tayari wakali hao wameshaanza kurekodi vipande vya movie hiyo.ambayo Schwarzenegger amecheza kama adui huku na wakati Rambo akiwa ni starring .

Comments