BARNABA WA THT KUIMBA NA FALLY IPUPA
MSANII WA BONGOFLAVA BARNABA ANATARAJIA KUONDOKA NCHINI KUELEKEA UFARANSA KWA AJILI YA KUREKODI WIMBO WAKE MPYA WA "TUACHANE KWA WEMA"
BARNABA AMBAYE KWA SASA ANATESA NA WIMBO WAKE WA MAGUBEGUBE,AMEYASEMA HAYO WAKATI AKIHOJIA NA MTANDAO MMOJA WA HABARI NCINI."
''Unajua katika ndoto zangu za kimuziki nimekuwa na ndoto siku
nyingi ya kurekodi na mastaa wa ukweli Duniani, na Fally ni mwanzo tu
kwani wapo wengine ambao tayari nimeshawasiliana nao pande za mamtoni
ambao tayarikama watatu wamekwisha nithitishia kunipa 'shavu' katika
miongoni mwa nyimbo zangu kadhaa ambazo nyingine zitakuwa ni katika
albam yangu ijayo baadaya hii. Hata Fally pia alikuwa akitamani
kurekodi na mimi tangu nilipo mpagawisha katika moja ya shoo yake
alipokuja nchini na kuipenda sauti yangu, kwa hiyo naye nipi ni nafasi
yake pekee aliyokuwa akiitamani ambayo amefanikiwa'' alisema Barnaba
Barnaba na kuongezea kuwa hayo ni maandalizi ya album mpya amabayo itakuwa na nyimbo kama kumi hivi
WIMBO MWINGINE WA BARNABA NI HUU HAPA UNAOITWA SIPENDI DHARAU
0 comments:

