WASANII WA KIKE WAONGOZA KWA KUVAA MAVAZI YA AJABU STEJINI (PHOTOS)
HILI SUALA LIMEONEKANA KAMA NI WIMBO SASA HIVI LAKINI BADO WASANII WENGI
WA KIKE WANAPENDA KUJIACHIA KWA MAVAZI YA AJABU WAKIWA STEJINI...KWA
HAPA BONGO SUALA HILO LIMEWAHI KUWAHUSISHA WASANII KIBAO KAMA VILE
SNURA,KHANGA MOKO,NA SHILOLE,LAKINI SUALA HILO LIMEAMIA NCHI ZA JIRANI
KAMA VILE KENYA NA NIGERIA,UGANDA N.K
MWANAMUZIKI WA Cameroon , Ashley Stephani
SHABIKI WA JOSE CHEMELEONE
DANCER WA SHALA MWANA,MEJJE
0 comments: