CHID BEENZ AWACHANA LAIVU WANAOONGELEA ISHU YAKE YA KUTOBOA PUA
Kama wewe ni shabiki wa muziki na vyombo vya habari najua utakuwa ushaisikia hii habari ya msanii chid beenz kutoboa pua,na maneno mengi sana yamesemwa juu ya ishu ikiwa pamoja na mashairi yaliyopo katika wimbo mpya wa ney na diamond pia imetajwa ishu hiyo....baada ya kimya sana chidi mwenyewe kaamua kufunguka katika wall yake ya twitter kama hivi
0 comments: