HIZI NDIO PICHA NA HABARI ZA MTU MWENYE SURA NUSU!!! INASIKITISHA SANA

Ganesh Bhagat Chaurasia,Ni raia wa India mwenye umri wa miaka 65,amekubwa na ugonjwa wa ajabu ambo unamfanya ashindwe kufanya kazi zake vizuri,

Bwana ganesh amekumbwa na ugonjwa ambao umepelekea sura yake kukaa katika muonekano wa kitofauti na binadamu wengine,kwani imegeukia upande mmoja kama unavyoona katika picha.Cha kusikitisha zaidi familia yake imemtenga na kumfukuza katika ardhi aliyozaliwa kwa miaka 50 mpaka sasa.

Pia bwana ganesh amemshukuru mungu kwani kutokana na hali yake hiyo ameweza kupata msaada wa malazi,chakula na mavazi kutoka kwa watu mbalimbali ambao wanamchukulia kama mtu asiyejiweza..





0 comments: