LULU ADAI KANUMBA ALIKUWA BABA YAKE

Kupitia wall yake ya twitter msanii elizabeth michael adai kanumba alikuwa ni zaidi ya mpenzi katika maisha yake na hataacha kumkumbuka hata siku moja