BAADA YA WEMA SEPETU,AUNT EZEKIEL,UWOYA NA LULU SASA NI ZAMU YA JACK WOLPER KUMWAGA RADHI
KIEKWELI MPAKA SASA NI ASILIMIA 20 YA WASANII WA BONGO MOVIE AMBAO HAWANA SKENDO YA KUKAA UTUPU MBELE YA WATU...KWANI TAYARI TUSHAONA PICHA ZA UTUPU AU NUSU UTUPU ZA WASANII KIBAO SANA NA HIVI KARIBUNI GWIJI MWINGINE KATIKA BONGO MOVIE JACK WOLPER NAE KATUONESHA MAMBO YAKE KAMA HIVI