KWA WALE AMBAO HAWAJACHEKA LEO....fungua hapa uvunjike mbavu
1. Ata uwe SHAROBARO vp huwez kunyoa kiduku kwapani!!
2.Hata uwe na haraka vp huwez omba lift gari la takataka.
3.hata uwe na heshima vp huez kujiamkia mwenywe "eti shikamoo mimi"
3. hata uwe na masterz ya ususi, KIPARA hakiwekwi ROLLERZ..
4.Kaa ukijua ukikaa kwenye mkeka hauninginizi miguu,
5.hata uwe na magari laki mbili chooni utaenda kwa miguu...
6.Hata uwe na heshima kiasi gani,huwezi kumsaidia mwanajeshi bunduki!
7. hata umpende sana mpenzi wako na muoge pamoja kunya lazima uende peke yako.

1.....hata uwe na huruma vp huwezi kumsaidia waifu kubeba ujauzito..
2.....hata uwe sharobaro vp huwezi kuvaa kanzu kata k
3.. Hata uwe mweupe vp huwezi kusababisha mwanga usiku
hata uwe mchungaji kama mimi, huwezi tembea juu ya maji kama Jesus
Hata uwe na tamaa vipi huwezi tamani kifo
Hata uwe na njaa vipi, huwezi kula Upepo.
Hata uwe na uroho wa kiasi gani, huwezi kuonja sumu.
Hata uwe na uroho wa kiasi gani, huwezi kuonja sumu.
duh,hata uwe dj mkali kunishinda mimi huwezi kupiga wimbo wa taifa club
Hata uwe na jinsia mbili huwezi kujifanya matusi!
hata uwe na kontena la viatu huwezi kulala na viatu,lazima ulale peku
hata uwe bishoo vp ukiwa na busha huwezi kuvaa modo
0 comments: