MTOTO WA LIL WAYNE AGEUKIA UANDISHI WA VITABU

Watoto Lil Wayne na Birdman wameamua rasmi kujiingiza katika uandishi wa novel. Reginae Carter na Bria Williams wameungana kuandaa kitabu kimoja kinachoitwa Paparazzi Princesses.

0 comments: