HII NDIO SABABU ILIYOPELEKEA KUUWAWA KWA MWANAMUZIKI DAMOCHE
KUTOKANA NA KIFO CHA MWANAMUZIKI WA KINIGERIA DAMOCHE KILICHOTOKEA ALHAMISI ILIYOPITA KWA KUPIGWA RISASI MBILI MOJA YA KICHWANI NA KWENYE BEGA LAKE,CHANZO CHA HABARI ZA KUAMINIKA ZINASEMA KUWA SABABU YA KIFO HICHO NI KUTOKANA NA UGOMVI BAINA YA DAMOCHE NA KIKUNDI FLANI CHA WATU AMBAO ALIKUWA ANAISHI KATIKA CAMPUS YA CHUONI ALIPOKUWA ANASOMA MWANAMUZIKI HUYO the Lagos State University AMBAPO ALIKUWA ANAMALIZIA MWAKA WA MWISHO KATIKA MAMBO YA BANKING.
MUUAJI WA MSANII HUYO ALIKUWA KWENYE PIKIPIKI NA MARA BAADA YA KUMPIGA RISASI ALITOKOMEA KUSIKOJULIKANA.
0 comments: