NIMEKUWA NIKIFUATILIA PICHA MBALIMBALI ZA CELEBS WETU WA KIKE HAP TZ,NA NIMEGUNDUA KUWA STAILI HII NDIO CHAGUAO LAO LA HARAKA SANA PALE WANAPOAMBIWA AU KUAMUA KUPIGA PICHA,PICHA NYINGI SANA ZIMEKUWA ZIKIWAONESHA WAREMBO HAO WAKIWA WAMEPOZI KIANA AINA TU KATIKA MTINDO UNAOFAHAMIKA KAMA MBUZI KAGOMA....CHEKI NA HIZI PICHA UTAAAMINI NINACHOSEMA....WAPO LULU,IRENE UWOYA,SNURA,SHAMSA FORD ,JACK NA RAY C,PICHA KUNA AUNT EZEKIEL,AGNESS NA WENGINE WENGI AMBAO WAMEWAHI KUONEKANA KATIKA POZI HILO