DIAMOND PLATNIUM KUITWA BABA

Baada ya kukataa kataa hatimaye diamond kaweka wazi kuwa mchumba wake mtarajiwa wa sasa ni mjamzito.mchumba wake ni yule ambaye siku za hivi karibuni aliwahi kupost picha zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii kama vile fb na twitter.....ni mtangazaji penny!!!!!

0 comments: