Ikiwa na siku chache hewani watalaam wa muziki wameng'amua kuwa beat ya wimbo huo imechakachuliwa kwa kiasi kikubwa kutoka katika beat ya wimbo wa msanii mwingine aitwaye mataluma katika wimbo wake wa kasindela......kwa sasa nimeziweka ngoma zote mbili hapa chini na uzisikilize...MR T TOUCH WEEEEEEEE MBAYAAAAAAAAAAAAA!!!!!
SIKILIZA BEAT HII YA MATAALUMA KISHA SIKILIZA HII YA NAY
SIKILIZA BEAT HII YA MATAALUMA KISHA SIKILIZA HII YA NAY