HACKERS WAMFANYIA KITU MBAYA MICHELE OBAMA
Kutoka katika mtandao wa tmz kuna habari inayosema kuwa lile wimbi la majangili wa kiteknolojia maarufu kama hackers kutoa taarifa za siri za watu maarufu safari hackers hao wamemtulia mke wa raisi wa marekani..michele obama
kupitia njia zisizo halali watu hao wameweza kujua taarifa mbali mbali za siri kutoka kwa first lady huyo kama vile taarifa zake za benk,zikiwemo namba za siri na vitu vingine na kisha kuviweka mtandaoni ili watu wazione..
The website that has disclosed detailed financial information about celebs like Beyonce, Jay Z, Britney Spears, Donald Trump and Kim Kardashian has now upped its game, revealing very personal financial info about the First Lady.
The website has posted Michelle's credit report, which includes her social security number, phone numbers, banking and mortgage info and credit card details.
The website also hacked into Joe Biden's history, but the info hackers were able to obtained was extremely limited. They obtained much more in Michelle's case.
0 comments: