AFARIKI DUNIA BAADA YA KUDONDOKA DARAJANI



Mtu mmoja aliyekuwa anafanya kazi ya kupaka rangi katika daraja moja kubwa huko new york city,amefariki dunia baada ya kuteleza na kudondokea kwenye maji wakati akiwa katika kazi yake hiyo ya kupaka rangi daraja hilo.

John Massas, 35,alikutwa na mauti hayo majira ya saa mbili asubuhi mapema tarehe 30 march mwaka huu.baada ya kudondoka umbali wa futi 130 na kuzama kwenye maji.

Comments