TUKIO HILI LA KUSIKITISHA LIMETOKEA JUZI KATIKA HOSTELI ZINAZOTUMIWA NA WANAFUNZI WA CHUO KIMOJA CHA UWAZIRI AMBCHO KIPO MKOANI TABORA.AMBAPO WATU WASIOFAHAMIKA IDADI YAO WALIVAMIA HOSTELI HIZO MAJIRA YA SAA TISA ZA USIKU NA KUWAPIGA WALINZI WA HOSTELI HIZO NA KUSABABISHA KIFO CHA MLINZI MMOJA NA MWINGINE KUJERUHIWA VIBAYA KISHA MAJAMBAZI HAO WAKAINGIA VYUMBANI MWA WANAFUNZI HAO NA KUWAAMURU KUTOA PESA NA SIMU ZA MIKONONI ZA WANAFUNZI HAO WA KIKE.
CHANZO CHETU CHA HABARI AMBACHO NI MMOJA KATI YA WANAFUNZI HAO AMEIAMBIA BLOG HII KUWA WALISIKIA VISHINDO VYA WATU NJE VYUMBA VYAO NA KISHA WAKAGONGEWA MLANGO,WALIPOFUNUGA TU WATU HAO AMBAO WALIKUWA NA NYUNDO,MAPANGA NA JIWE LA FATUMA WALIANZA KUWAPIGA NA KUWAAMURU WATOE KILA WALICHONACHO,KISHA WAKAONDOKA NA KUELEKEA VYUMBA VINGINE.
TUKIO HILO AMBALO LILICHUKUA ZAIDI YA SAA MOJA BILA KUTOKEA KWA MSAADA WOWOTE ULE TOKA KWA WANANCHI WAKAZI WA MAENEO HAO.
"WALIKUWA WANAJIAMINI SANA KWANI WALIKUWA WANAPELEKA SIMU KISHA WANARUDI TENA KUJA KUTUPIGA NA KUTUTISHIA NA MPAKA SASA WALIMU HAWAJATUSAIDIA CHOCHOTE NA SISI WALA HATUNA FEDHA ZA MATUMIZI KWANI ZOTE TUMEPORWA NA WATU WALE AMBAO WALIONDOKA KWA PIKIPIKI"KILISEMA CHANZO CHETU CHA HABARI KWA NJIA YA SIMU.
HATA HIVYO TAARIFA HIZO TAYARI ZIMEFIKISHWA KATIKA VYOMBO VVYA USALAMA NA UCHUNGUZI UNAENDELEA..

Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!