DIAMOND KUKATAA HELA YA WEMA SEPETU NI MAKUSUDI AU ??


Hii imemtokea Mwanadada Wema Sepetu ambaye alikuwa mchumba wa Diamond katika show iliyofanyika pale mlimani city ya DIAMONDS ARE FOREVER kujikuta akipata aibu baada ya pesa alizotoa kumtunza diamond akiwa stejini kukataliwa (hatujaelewa kama diamond alikuwa busy na show au alifanya vile kwa makusudi tu).Hali hiyo imezua maneno mengi sana mtaani huku wengi wakimlaumu diamond kwa kufanya kitendo kama kile na wengine wakionekana kushabikia kitendo hicho.

diamond akiimba kwa hisia
Wema baada ya tukio hilo aliamua kuzimwaga hela hizo stejini na kurudi kwenye kiti akiwa amenyong'onyea vibaya. Hata hivyo show hiyo ilibamba sana kwa kuwa ilijaaa watu kibao huku q chila,amini,barnaba na ommy dimpozi wakitoa sapoti ya nguvu
CHECK ALIVYOMPOTEZEA


WEMA SEPETU AKILIA BAADA YA TUKIO HILO
KAMA KWELI DIAMOND ALIKUWA BIZE NA SHOW MBONA HII YA SHABIKI MWINGINE ALIPOKEA?

WEMA AKIONDOKA KWA MACHUNGU  
Blog hii inamshauri diamond kuwa kitendo hicho hakikupaswa kufanywa na mtu kama yeye na wakati ni msanii kioo cha jamii.
BARANABA AKITUNZWA NA WEMA

AMINI AKITOA BURUDANI




Comments