Mwanamke ambaye aliokotwa akiwa hajiwezi baada ya kile kinachodaiwa ni kipigo toka kwa watu wasiojulikana amefariki dunia, mwanamke huyo ambaye siku ya jmosi alikutwa akiwa katika dimbwi la damu mjini carifonia huku akiwa na kikaratasi kilichandikwa "go back to your country,"na kuwahishwa hospitalini kwa ajili ya matibabu lakini hawakuweza kuoka maisha yake na hivyo kuaga dunia mnamo saa tisa alasiri siku ya jumamosi
"kwa jinsi tunavyoona sisi huyu amepigwa na watu,kwa kitu kizito kichwani. baadaye akadondoka chini kwani amekutwa katika dimbwi la damu," anasema Hanif Mohebi, mkurugenzi wa Baraza la Mahusiano ya Marekani ya Kiislamu.San Diego.

Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!