Hayo ni maneno aliyoandika mkali huyo katika website yake ijumaa hii kuwa yeye na mkewe muigizaji Ayda wanategemea kuitwa wazazi mapema mwaka huu
"Nimekuwa nikiwaficha muda mrefu …mimi na mke wangu tunategemea kuwa baba na mamamwaka huu" aliandika hivyo.Kwa maneno hayo ni kwamba kwa sasa mkewe ni mjamzito.

Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!