Katika habari iliyoandikwa ukurasa wa mbele wa gazeti pacha la Ijumaa lililoingia mitaani Ijumaa iliyopita likiwa na habari iliyobeba kichwa; IDADI YA WANAUME WALIODUU NA MASTAA WA KIKE BONGO…PWAA, Lulu alinukuliwa akisema kuwa katika maisha yake aliwahi kutoka na wanaume wawili tu jambo ambalo baadhi ya watu haliwaingii
KAULI imeonekana kupingwa na watu wengi huku wengine wakidai nao wamo katika msafara huo hivyo kumtaka msanii huyo machachari kuwaweka wazi ili wajijue kama ni wao waliozungumziwa au wametupiwa kapuni!!!
chanzo ni gazeti la ijumaa http://www.globalpublishers.info/profiles/blog/show?id=5398006%3ABlogPost%3A894714&commentId=5398006%3AComment%3A895769&xg_source=activity

Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!